For God... made his light shine
in our
hearts
to give us the light
of the knowledge
of the glory of God
in the face of Jesus Christ
OPERATION:
JESUS PICTURES
Free pictures of Jesus to the world
ZAWADI
Imeandikwa na Silvana Lupetti
Mojawapo kwa vitu muhimu na hata vizuri tunavyoweza kujua kwa YESU KRISTO ni kwamba yeye anafuatilia karibu maisha yetu tangu tukiwa tumboni mwa maama zetu mpaka tukifariki dunia. Huyo ni Mungu, mwenye uwezo, anakuwepo kila mahali hana mpaka kwa njia yake, lakini anatujari sisi.
Jiulize kama ilivyo kwake kutuona tungali tumboni, tungali watoto wachanga, tungali vijana, watu wazima na hata tukiwa wazee. Na akipenda akatuona tukiwa wazee na hata akashuhudhia kifo chetu. Anajua kwenda na kurudi kwa ma biliyoni ya watu. Hajasahau hata mmoja miongoni mwetu.
Anapenda kila mtu kwa ubinafusi wake. Anatujali kama tunavyojali watoto wetu binafusi. Anafurahia kuona upendo na mazuri miongoni mwetu, kuona tunavyokua na kubuni, na kujenga, tukitenda meema kwa dunia inayotuzunguka.
Na hata dhambi anaiona, anaona inavyouma na inavyoharibu wanawotuzunguka, familia zetu au marafiki. Anaona ubaya wa kujipendelea, ambao ni dhambi yetu, itupelekayo kwa kuwangamia na kifo.
Anakuwepo kila wakati. yeye anaona kila mauwaji yakitokea duniani, kila suicide (uwuaji wa binafusi)
anaona kila matendo mabaya na chuki na akavunjika moyoni.
Yesu anatutakia tuwe kwenye mazingira ya uhuru ikiwa kati yetu au na kila kiumbe. Kila siku, kila muda yeye anakuwepo nasi, anashuhudhia mambo yote, mazuri na mabaya.
Anatuliria. Anatupelekea moyo wake na wamalaika wake watusaidie na kutuongoza kwa muumbaji wetu.
Yesu ametufanyia njia msalabani. Analiria maumivu yetu na utumwa wetu chini ya shetani, anafanya kila liwezekanalo ili kutuonya, ikiwemo kilipo juu ya vyote, kutoa maisha yake.
Hatuko pekee. Yu nasi, yu miongoni mwetu, yuko na uwezo kutuponya. Yeye ye njia, ukweli, na uzima. ye njia kwa uhuru. Ukifikiria kwa Yesu ambaye amezaliwa kimuwili, kumbuka kwamba yuko mzima. Anaweza kuongea na ataongea nawe.
Atajibu mawazo yako na atakuonyesha yanayotengeneza kwa maisha yako na hata kwa kila kiumbe. BAABA, tunakushukuru kwa zawadi la YESU. Tukubali nasi tukuwe upendo wetu, urafiki wetu na upendeleo wetu wa kwenda sambamba nawe kulingana na upenda wako.
Thanks be to God for his unspeakable gift! 2 Corinthians 9:15